Tunawasilisha kwako habari zilizopewa nafasi katika kurasa za mbele na kurasa za nyuma za magazeti ya Tanzania, leo Julai 2, 2020.

Kumbuka kuangalia magazeti yakisomwa muda mfupi ujao kupitia YouTube ya Dar24 Media.

Kenya yanyoosha maelezo kuhusu Watanzania kuingia kwao
Spurs, Arsenal zabanana kwa Coutinho