Karibu usome habari zilizopewa nafasi kwenye kurasa za mbele na kurasa za nyuma za magazeti ya Tanzania, leo Aprili 24, 2021.

Usikose pia kuangalia magazeti yakisomwa kupitia YouTube ya Dar24 Media muda mfupi ujao.

Wakurugenzi Halmashauri 4 kikaangoni
Katibu Mkuu TAMISEMI amaliza utata ajira mpya za walimu