Karibu usome habari zilizopewa nafasi kwenye kurasa za mbele na kurasa za nyuma za magazeti ya Tanzania, leo Desemba 17, 2020.

Usikose pia kuangalia magazeti yakisomwa kupitia YouTube ya Dar24 Media muda mfupi ujao.

Mahakama yaamuru Bilioni 5.4 za Mr. Kuku zitaifishwe
Waziri Nchemba, awaonya wanaotaka kuijaribu serikali