Habari Magazeti Habari kubwa kwenye magazeti leo, Desemba 7, 2020 4 years ago Karibu usome habari zilizopewa nafasi kwenye kurasa za mbele na kurasa za nyuma za magazeti ya Tanzania, leo Desemba 7, 2020. Usikose pia kuangalia magazeti yakisomwa kupitia YouTube ya Dar24 Media muda mfupi ujao. Mama ajifungua kuku Kigoma Mabasi yanayotumia gesi mbioni kuja nchini