Habari Magazeti Habari kubwa kwenye magazeti leo, Januari 3, 2021. 4 years ago Karibu usome habari zilizopewa nafasi kwenye kurasa za mbele na kurasa za nyuma za magazeti ya Tanzania, leo Januari 3, 2021. Usikose pia kuangalia magazeti yakisomwa kupitia YouTube ya Dar24 Media muda mfupi ujao. Watu 56 wameuawa katika shambulizi la kigaidi- Niger Treni yenye abiria 720 yapata Ajali Dodoma