Habari Magazeti Habari kubwa kwenye magazeti leo, Juni 28, 2021 4 years ago Karibu usome habari zilizopewa nafasi kwenye kurasa za mbele na kurasa za nyuma za magazeti ya Tanzania, leo Juni 28, 2021. Usikose pia kuangalia magazeti yakisomwa kupitia YouTube ya Dar24 Media muda mfupi ujao. Burna Boy anyakua tuzo ya BET, awapiga chini mastaa wakubwa Hati ya ardhi kutolewa kwa siku moja maonyesho ya sabasaba