Karibu usome habari zilizopewa nafasi kweny kurasa za mbele na kurasa za nyuma za magazeti ya Tanzania, leo Machi 30, 2021.

Usikose pia kuangalia magazeti yakisomwa kupitia YouTube ya Dar24 Media muda mfupi ujao.

LHRC yalaani mauaji ya mtangazaji wa ITV
Waliomuua Mtangazaji wa ITV wasakwa