Karibu usome habari zilizopewa nafasi kwenye kurasa za mbele na kurasa za nyuma za magazeti ya Tanzania, leo Mei 3, 2021.

Usikose pia kuangalia magazeti yakisomwa kupitia YouTube ya Dar24 Media muda mfupi ujao.

Serikali yapiga marufuku vyeti vya awali
Samia aahidi ongezeko la mishahara, agusia malipo mafao ya wastaafu