Karibu usome habari zilizopewa nafasi kwenye kurasa za mbele na kurasa za nyuma za magazeti ya Tanzania, leo Oktoba 13, 2020.

Usikose pia kuangalia magazeti yakisomwa kupitia YouTube ya Dar24 Media muda mfupi ujao.

Wanne kulipa mil. 16 kwa kuisababishia hasara TCRA
Ujenzi wa VETA Kagera wakutana na kizingiti hiki