Karibu usome habari zilizopewa nafasi kwenye kurasa za mbele na kurasa za nyuma za magazeti ya Tanzania, leo Septemba 12, 2020.

Usikose pia kuangalia magazeti yakisomwa kupitia YouTube ya Dar24 Media muda mfupi ujao.

Rasmi Maalim Seif kugombea Urais
Waliotumia jina la Mama Janeth Magufuli wahukumiwa