Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani (World Economic Forum), uliofanyika katika Ukumbi wa Congress, Davos nchini Uswizi hii leo Januari 17, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na Washiriki pamoja na viongozi mbalimbali wanaohudhuria Mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani (World Economic Forum), uliofanyika katika Ukumbi wa Congress, Davos nchini Uswizi hii leo Januari 17, Januari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Dkt. Abdallah Possi mara baada ya kuhudhuria ufunguzi wa Mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani (World Economic Forum) uliofanyika katika Ukumbi wa Congress, Davos nchini Uswizi hii leoJanuari 17, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa katika ufunguzi wa Mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani (World Economic Forum), uliofanyika katika Ukumbi wa Congress, Davos nchini Uswizi hii leo Januari 17, 2023.

Ajali ya Ndege Nepal: Familia zakabidhiwa miili ya wapendwa wao
Jela maisha kwa kumlawiti mtu mzima hadharani