Uncategorized Habari Picha: ziara ya Kassim Majaliwa Mbeya 3 years ago Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akikagua shamba la Chai la Wakulia Tea Company Limited lililopo eneo la Kyimbila wilayani Tukuyu, Agosti 2, 2021. Akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Mbeya.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu wa Jamhui ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akikagua kitalu cha miche ya chai cha shamba la Chai la Wakulima Tea Company Limited lililopo eneo la Kyimbila wilayani Rungwe, Agosti 2, 2021. Akiwa katika ziara ya kikazi Mkoani Mbeya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Kituo cha Pamoja cha Forodha kwenye mpaka wa Tanzania na Malawi eneo la Kasumulu wilayani Kyela akiwa katika ziara ya mkoa wa Mbeya Agosti 2, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Mapya yaibuka Rubby na Mosse Iyobo Yusuph Athuman atua Young Africans