Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Mhe. Wiebe de Boer, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 10-3-2022.(Picha na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Mhe. Wiebe de Boer, (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 10-3-2022.(Picha na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Mhe. Wiebe de Boer, baada ya kumaliza mazungumzo yao yalifanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-3-2022.(Picha na Ikulu)  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Mhe.Wiebe de Boer, wakati akimkabidhi kitabu baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar alipofika kijitambulisha leo 10-3-2022.(Picha na Ikulu)

Mmoja auwawa na Tembo Arusha
Waziri Bashe awapa maagizo wakurugenzi ''Dawa hizi ni bure''