Habari Picha:Rais Samia akiongoza kikao ca kamati kuu pamoja na halmashauri kuu ya CCM taifa
3 years ago
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika leo tarehe 31 Machi, 2022 katika Makao Makuu ya Chama White House Jijini DodomaMwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika leo tarehe 31 Machi, 2022 katika Makao Makuu ya Chama White House Jijini DodomaMwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Shaka Hamdu Shaka kuhusu matayarisho ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM unaotarajiwa kufanyika kesho alipotembelea ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma