Baada ya kimya kirefu kutanda kutoka kwa Mwanamitindo Hamisa Mobeto mara baada ya Diamond kuweka wazi mahusiano yao na mtoto wao mpya Abdul, mapema leo hii kupitia mtandao maarufu wa kijamii snapchat amewasha moto kwa kujitapa, na kurusha baadhi ya vijembe kwa watu wasiojulikana.

Ambapo ameachia tetesi tatu kubwa kuwa huenda mwanadada huyo Hamissa akanunuliwa gari aina ya Prado Land Cruiser, huenda bidada huyo akahamia nyumbani kwa Diamond Platnumz Madale la mwisho alilojuza umma yupo mbioni kutafuta mapacha na Diamond.

 

 

TCRA yawafunda wamiliki wa mitandao ya kijamii
Video: Mbowe asema Lissu hatasafirishwa kwenda kokote