Mwishoni mwa mwezi uliopita jarida la Forbes lilitoa list ya Wasanii 30 wanaokadiriwa kuwa na mkwanja mrefu zaidi barani Africa kwa mwaka 2021 wakitaja na makadirio ya utajiri wao.

1. Youssou N’dour (@youssoundour1959) wa nchini Senegal anayekadiriwa kuwa na utajiri wa US $ 145 million.
2. Akon (@akon) wa Senegal anayekaridiriwa kuwa na utajiri wa US $ 80 million.
3. Black Coffee wa South Africa anayekadiriwa kuwa na utajiri wa $ 60 million.
4. Wizkid (@WizkidAyo) wa Nigeria anayekadiriwa kuwa na utajiri wa US $ 21 million.
5. Davido (@davido) wa Nigeria anayekadiriwa kuwa na utajiri wa US $ 20 million.
6. Don Jazzy (@donjazzy) wa Nigeria anayekadiriwa kuwa na utajiri unaofikia US $ 18 million
7. Burna Boy (@burnaboygram) wa Nigeria anayetajwa kuwa na utajiri wa US $ 17 million.
8. 2 Face Idibia (@official2baba) wa Nigeria anayekadiriwa kuwa na utajiri wa US $ 16.5 million.
9. RudeBoy (@iamkingrudy) wa Nigeria anayekadiriwa kuwa na utajiri wa US $ 16 million.
10. Timaya (@timayatimaya) wa Nigeria anayekadiriwa kuwa na utajiri wa US $ 12 million.

Unahisi wasanii wetu wa Tanzania wakiongeza au kupunguza kitu gani tunaweza kuwaona kwenye list hiyo mwakani!?

Kampuni yatangaza nafasi za kazi za kulala
Elimu ya hakimiliki itolewe kwa wabunifu- Majaliwa