Eden Hazard ameweka wazi kuwa anataka kuondoka Chelsea, lakini itamlazimu kusubiri hadi majira ya kiangazi.

Inaaminika Paris Saint-Germain wako kwenye nafasi nzuri ya ya kumsajili Hazard dirisha la kiangazi lakini watakuwa na upinzani mkubwa kutoka kwa Real Madrid na Bayern Munich.

Matajiri hao wa Ufaransa wanaamini watamnyakua mshambuliaji huyo mpika mabao baada ya staa huyo kuwaambia marafiki zake kuwa anaondoka Chelsea mwishoni mwa msimu.

Adebayor Apania Kurudi Kwa Ufunguo Wa Dirisha Dogo
Mbwana Samatta Aipaisha Tanzania