Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli leo Desemba 5, 2020 amefanya uteuzi wa Mawaziri 21 na Naibu Mawaziri 23.

Orodha ya Mawaziri Mawaziri. walioteuliwa ni:

1.Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa – Elias John  Kwandikwa

2.Wizara Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora – Kapteni Mstaafu George Mkuchika.

3.Wizara ya Ardhi,  Nyumba na Maendeleo ya Makazi – William Lukuvi

4.Wizara ya Maji – Juma Aweso

5. Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo – Innocent Bashungwa

6. Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu – Jenista Muhagama

7.Wizara ya Afya maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto Dorothy Gwajima ambae pia ameteuliwa kuwa Mbunge

8.Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Uwekezaji – Prof Kitila Mkumbo

9. Wizara ya Katiba na Sheria – Dokta Mwigulu Nchemba

10. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia – Profesa Ndalichako

11. Wizara ya Mifugo na Uvuvi – Mashimba Mashauri Ndaki

12. Wizara ya Maliasili na Utalii – Ndumbaro Damas Daniel

13. Wizara ya Nishati – Medad Kalemani

14. Wizara ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Suleiman Jaffo

15. Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Leonard Chamuriho.

16. Wizara ya Kilimo – Prof. Adolph Mkenda

17. Wizara ya Madini – Dotto Biteko

18. Wizara ya Viwanda na Biashara – Mwambe Geofrey

19. Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi – George Simbachawene

20. Wizara ya Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira – Ummy Mwalimu

21. Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari – Dokta Faustine Ndugulile.

22. Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki – Profesa Palamagamba Kabudi

23. Wizara ya Fedha na Mipango – Dkt. Philip Mpango

Orodha ya Manaibu Waziri 23 walioteuliwa ni:

1. Wizara ya Fedha na Mipango – Mwanaidi Ali Hamis

2. Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi – Dkt.Angelina Mabula

3. Ofisi ya Waziri Mkuu, kazi, Vijana na Ajira – Katambi Pascal Patrobas

4. Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi – Hamis Hamza Hamis

5. Wizara ya Viwanda na Biashara – Kigahe Exaud Silaoneka

6. Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia- Kipanga Juma Omary

7. Ofisi ya Rais TAMISEMI – Dkt Festo John Lugange 

8. Wizara ya Nishati – Byabato Stephen Mjwahuka

9. Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora- Ndejembi Deogratias John

10. Wizara ya Mawasiliano na Telnolojia ya habari-Mhandisi Kundo Andrea Mathew

11. Wizara ya Mifugo na Uvuvi- Gekul Pauline Philipo

12. Wizara ya Madini – Ndulane Francis Kumba

13. Wizara ya Ujenzi – Mhandisi  Msongwe Godfrey Kasekenya

14.Wizara ya Ofisi ya Waziri mkuu wenye Ulemavu – Ummy Hamis Nderiananga Ummy Ndeliananga⁩ 

15. Wizara ya Maji- Mhandisi Maryprisca Wilfred Mahundi

16. Wizara ya Habari, Umaduni, Sanaa na Michezo- Abdalah Ulega

17. Wizara ya TAMISEMI- Silinde David Ernest

18. Wizara ya Kilimo- Husein M.Bashe

19. Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia, wazee na watoto Dkt Godwin Molel

20. Katiba na Sheria Pinda – Geofrey Mizengo Pinda

21. Wizara ya Muungano na Mazingira – Mwita Waitara

22. Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki – William Tate Ole Masha

23. Wizara ya Maliasili na Utalii – Mary Francis  MasanjaWilliam Lukuvi23. Wizara ya Maliasili na Utalii – Mary Francis  Masanja

Habari kubwa kwenye magazeti leo, Desemba 6, 2020
Magufuli ateua Baraza jipya la Mawaziri, Naibu Mawaziri