Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, amemtaka mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu lissu kuripoti kituo cha Polisi Moshi, mkoani Kilimanjaro kutokana na matendo aliyoyafanya jana Septemba 30 akiwa mkoani humo ikiwa ni pamoja na kugombana na polisi.

Tanzania isamehewe madeni - HDT
TAKUKURU yaokoa zaidi ya shilingi Bilioni 1

Comments

comments