Rapa kutoka jiji la miamba, Fareed Kubanda aka Fid Q ametajwa katika orodha ya rapaz 20 bora zaidi katika bara la Afrika na jarida la SA hip hop.
“Fid Q has been bringing the flame through the sharp lyricism!! He has won the best video award at the Channel O’s.” Limeandika jarida hilo.

Fid anaejiita Mfalme wa Mashairi na Flow amepata nguvu zaidi ya kuanza kuwekeza kwenye video baada ya kujiona kwenye orodha hii huku akiwa na videos chache.


Hii ni orodha kamili ya rapaz 20 bora zaidi Afrika kwa mujibu wa Jarida la SA hip hop:
1.AKA – Afrika Kusini
2.Sarkodie – Ghana
3.Ice Prince – Nigeria
4.Cassper Nyovest – Afrika Kusini
5.M.I. – Nigeria
6.K.O. – Afrika Kusini
7.Manifest – Ghana
8.K’naan – Somalia
9.Zues – Botswana
10.Phyno – Nigeria
11.Olamide – Nigeria
12.Dee Money – Ghana
13.Octopizzo – Kenya
14.Tumi – Afrika Kusini
15.Stunner –Zimbabwe
16.Youssoupha – Congo
17.Dama Do Bling – Msumbiji
18. Fid Q – Tanzania
19.Cleo Ice Queen – Zambia
20.Cal Vin – Zimbabwe

January Makamba: CCM impitishe kijana atakayeleta mabadiliko
Stars Ya Mkwasa Kuelekea Uganda Siku Mbili Zijazo kuivaa ‘The Cranes’