Orodha ya wasanii wa Hip Hop walioingiza pesa nyingi zaidi ndani ya mwaka uliopita wa 2021huko nchini Marekani tayari imewekwa wazi ikiwa imesheheni majina ya nyota kadhaa akiwamo rapa Shawn Carter maarufu Jay-Z kwenye nafasi ya kwanza.

Akiwa ametengeneza Usd 470M ambazo ni zaidi ya Trilioni 1 za Kitanzania, akifuatiwa na rapa Kanye West, Diddy na nyota wengine kadhaa wanaoikamilisha kumi bora ya wasanii walioingiza pesa nyingi kwa mwaka 2021.

Orodha kamili ya wasanii 10 wa Hip Hop waliongiza pesa nyingi zaidi JAY-Z – $470 millioni, Kanye West – $250 million, Diddy – $75 million, Drake – $50 million, Wiz Khalifa – $45 million, Travis Scott – $38 million, DJ Khaled – $35 million, Eminem – $28 million, J. Cole – $27 million, Birdman – $25 million, Doja Cat – $25 millioni, Tech N9ne – $25 million.

Njia za kielektroniki za malipo kufungwa
Tangazo la BurjKhalifa halijalipiwa