Beki wa Chelsea, John Terry amejipa matumaini kwamba ataongezewa mkataba wa mwaka mmoja ili aendele kuitumikia klabu hiyo ya Stamford Bridge kwa msimu wa 19.

Nyota huyo mwenye umri wa miaka 35, ambaye umamosi alionekana uwanjani kwa mara ya 694 akiwa Chelsea ikiwa ni ya 700 katika soka lake ngazi ya klabu, ndiye aliyeisawazishia bao timu yake katika muda wa dakika nne za nyongeza dhidi ya Everton na hivyo kuwanusuru kipigo.

Southampton Watepeta Kwa Graziano Pelle
Philipp Lahm Atamani Mazuri Zaidi Kutokwa Kwa Guardiola