Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo amemjulia hali mwanasiasa mkongwe Mzee Kingunge Ngombale Mwiru aliyelazwa katika wodi ya Mwaisela, hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam akitibiwa majeraha baada ya kushambuliwa na mbwa nyumbani kwake.

Lissu awaachia ujumbe mzito Wakenya
Makonda ajitolea kujenga nyumba ya mwandishi