7 years agoComments Off on JPM amteua Mwamunyange kuwa mwenyekiti DAWASA
Rais Magufuli amemteua aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Mstaafu Davis Mwamunyange Kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA).