Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Spika wa Bunge, Job Ndugai kufuatia kifo cha Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini Leonidas Gama.

“Nimepokea kwa masikitiko na majonzi kifo cha ghafla cha mbunge Leonibas Tutubert Gama…..”

Leonidas Gama amefariki usiku wa Novemba 23, 2017 katika hospitali ya Mtakatifu Joseph ya Peramilo iliyopo wilaya ya Songea mkoani Ruvuma ambako alikimbizwa kwa matibabu baada ya kuugua ghafla

Tanzania yaanguka nafasi sita viwango vya soka duniani
Kozi ya Grassroots yapelekwa Mbeya