Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefunguka na kuwatakia heri Watanzania wote katika kusherehekea siku ya Christmas na mwaka mpya.

Ametoa salamu zake hizo kupitia kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Ikulu, Gerson Msigwa ambapo rais amewataka Watanzania kusherehekea sikukuu hizo kwa utulivu na amani na kuwataka Watanzania mwaka 2018 kuwa pamoja ili nchi iweze kufanikiwa zaidi.

 

Magazeti ya Tanzania leo Desemba 26, 2017
Rais Mpya wa Zimbabwe azidi kuwavuta wanajeshi