Kamanda Mpinga Azindua Mkakati Kukabiliana na Ajali Barabarani
7 years ago
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani ambaye pia ni Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Naibu Kamishna Mohamed Mpinga leo amezindua mkakati wa wa miezi sita wa baraza hilo wa kukabiliana na ajali za barabarani.