Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Kangi Lugola amepata pigo mara baada ya kufiwa na mke wake.

Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na Ofisi ya Makamu wa Rais na Muungano na Mazingira imesema kuwa Naibu Waziri huyo amefiwa na mkewe mapema hii leo jijini Dar es salaam.

Aidha, taarifa zaidi zaidi zitatolewa kuhusu taratibu za msiba huo uliotokea jijini Dar es salaam kwa ndugu, jamaa na marafiki.

Polepole: Lema 2020 utalisikia hewani tu jimbo la Arusha Mjini
Maalim Seif: JPM ameirejesha nidhamu ya nchi