Rapa Kanye West ametoa habari njema kwa mashabiki wake waliokuwa wanasubiri kwa hamu albam yake mpya ya ‘Swish’ iliyokuwa jikoni.

Yeezy ameitaja albam hiyo kuwa ni album bora zaidi ya muda wote itakayofunika. Hii ina maanisha kuwa anaamini kuwa album yake inaweza kuvunja rekodi ya albam ya Adele ya 25.

Ameandika kipande cha ujumbe wake kwenye kipande cha karatasi kupitia Twitter ikionesha  baadhi ya nyimbo zitakazohusika.


 

Salim Ahmed Salim ashangaa Tangazo la Kurudiwa Uchaguzi Zanzibar,
Bashe amvaa Membe, amuita mwanasiasa 'Mufilisi'

Comments

comments