Watu wengi hawajafurahishwa na kile kilichofanywa na kanye west katika MAGA fashion choise ya SNL.

Kanye west amekuwa akimpigia upatu raisi wa marekani Dornald Trump kwa muda mrefu, ingawaje wafuasi wa Chama cha Democratic ambao wengi ni jamii ya watu weusi wamekuwa wakimpinga na kumuita msaliti Katika show yake ya maga fashion, Kanye West amesika akisema.

“Kofia hii inaashiria kuwa hali ni shwari na Marekani inaenda pazuri. Hatutahitaji tena kutegemea mataifa mengine, tumejenga viwanda ili kuongeza ajira. Na tupo mbioni kufanya marekebisho madogo ya katiba kuwa kila mtu anayetoka jela apate ajira, Ujumbe umewafikia na nawapenda”

Mkongwe huyu wa mziki wa hiphop Nchini Marekani ameamua kubadili jina na kijiita YE huk akishindwa kutoasababu ya kujiita jina hilo, alipost katika ukurasa wake wa tweeter na kusema najilikana kama Kanye West ila sasa naitwa YE

Mwandishi wa Citizen TV anayetuhumiwa kuua asoteshwa
Timu Lipumba wapiga mkwara Maalim Seif kukanyaka Liwale