Serikali ya Kenya imetoa orodha ya Nchi 147 ambazo Raia wake wataruhusiwa kuingia nchini humo bila kukaa karantini ambapo kwenye orodha hiyo, Tanzania imetajwa miongoni mwa Nchi hizo ambazo sasa raia wake watakuwa huru kuingia nchini Kenya na kuendelea na shughuli zao.

Young Africans kuifuata Kagera Sugar
Biashara United Mara waijibu Simba SC

Comments

comments