Rais wa Kenya, Uhuru Kenyata ametoa wiki mbili kwa Waziri wake kuhakikisha sakata la mahindi ya Tanzania yaliyokwama mpakani linapatiwa ufumbuzi.

Kenyata ametoa agizo hilo leo mbele ya Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan wakati wa kongamano la wafanyabiashara wa Tanzania na Kenya linaloendelea jijini Nairobi.

Aidha, amesema endapo dereva atapimwa Covid 19 Tanzania, cheti chake kitumike kumruhusu kuingia Kenya.

Fiston: Tunaiheshimu Simba SC
Kocha Gomes asuka mipango kabambe