Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson ameahirisha kikao cha bunge kwa muda baada ya kengele ya dharura kulia kuashiria hatari.

Mara baada ya kuahirisha Bunge, Dkt. Tulia amesema Bunge litarejea baada ya dharura hiyo kutatuliwa.

Waziri Biteko: Madini kusababisha migogoro ya kisiasa
Habari Kuu kwenye magazeti ya leo Juni 27, 2023