Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. HamisiKigwangalla (kulia) akizungumza na viongozi wa mfuko wa Abbott (Abbott Fund) kutoka Marekani na Tanzania waliomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es salaam leo kuzungumzia masuala mbalimbali ya uboreshaji wa huduma za Afya na Elimu kupitia program mbalimbali zinazofanywa na Mfuko huo nchini. Kutoka Kulia ni Makamu Mtendaji wa Rais wa Mfuko wa Abbott, Stephen Fussell na Makamu wa Rais Mwandamizi wa Mfuko wa Abbott (Abbott Fund Bi.Elaine Leavenworth (katikati)

Mrisho Mpoto akunwa na nyimbo za Nay wa Mitego 'aliyefungiwa', amshauri
Waziri Mkuu akabidhiwa matawati kwaajili ya Shule za Dar