Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi CCM umempitisha Abdulrahman Kinana kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho kwa upande wa Tanzania Bara.

Kinana amepata kura zote 1,875 zilizopigwa na Wajumbe wa mkutano huo.

Akizungumza katika mkutano huo baada ya uchaguzi Makamu Mwenyekiti wa CCM Kinana ameahidi kusimamia Demokrasia ndani ya chama hicho

Makamu Mwenyekiti wa CCM amesisitiza pia kushughulikia suala la Umoja na kuondoka a na makundi

Dirk Kuyt ampigia debe Erik Ten Hag Man Utd
UNFPA kujikita na Ulinzi wa vijana Tanzania