Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya itaendelea leo Jumatano, ambapo kutakuwa na michezo minane itakayochezwa kwenye viwanja tofauti barani humo.

Wababe wa Hispania FC Barcelona na Magangwe wa England Manchester United, watashuka katika viwanja tofauti huku wakiwa na lengo la kutafuta pointi  tatu za michuano hiyo, ambayo ipo kwenye hatua ya makundi.

Ratiba kamili ya michezo ya leo

CSKA Moskva v Benfica

Qarabağ v Chelsea

Juventus v Barcelona

Basel v Manchester United

Anderlecht v Bayern München

Sporting CP v Olympiakos

PSG v Celtic

Atlético Madrid v Roma

Saratani ya kibofu inamtafuna Eduardo Berizzo
Hatma ya Matheo Anthon mikononi mwa Lwandamina