Hatimae dirisha la usajili wa wachezaji katika kipindi cha majira ya kiangazi lilifungwa rasmi usiku wa kumakia hii leo huko barani Ulaya huku matumizi ya fedha kwenye usajili katika Ligi Kuu ya England yakipita pauni bilioni moja kwa mara ya kwanza.

Hii inamaanisha timu 13 kati ya 20 zimevunja rekodi zake za uhamisho msimu huu.

Ifuatayo ni orodha ya wachezaji na timu walizokwenda pamoja na ada ya uhamisho ambao umevunja rekodi za klabu katika kununua mchezaji mmoja.

Manchester United: Paul Pogba (£93.25m)

Liverpool: Sadio Mane (£36m)

Crystal Palace: Christian Benteke (£32m)

West Ham: Andre Ayew (£20.5m)

Leicester: Ahmed Musa (£16m)

Southampton: Sofiane Boufal (£16m)

Swansea: Borja Baston (£15.5m)

Bournemouth: Jordon Ibe (£15m)

Sunderland: Didier N’Dong (£13.6m)

Hull: Ryan Mason (£13m)

West Brom: Nacer Chadli (£13m)

Watford: Roberto Pereyra (£13m)

Burnley: Jeff Hendrick (£10.5m)

WhatsApp Image 2016-09-01 at 06.31.29

Na ifuatayo ni orodha ya usajili wa wachezaji waliozihama klabu zao siku ya mwisho kabla ya dirisha la usajili wa majira ya kiangazi halijafungwa.

Moussa Sissoko Newcastle United kwenda Tottenham Hotspur (£30m)

David Luiz Paris Saint Germain kwenda Chelsea (£32m)

Jack Wilshere – Arsenal kwenda Bournemouth, (mkopo wa muda mrefu).

Islam Slimani – Sporting Lisbon kwenda Leicester (£28m)

Alvaro Arbeloa – kwenda West Ham (Mchezaji huru)

Mario Balotelli – Liverpool kwenda Nice (Huru)

Dieumerci Mbokani – Dynamo Kiev kwenda Hull City (Mkopo)

James Weir- Manchester United kwenda Hull City

Lazar Markovic – Liverpool kwenda Sporting Lisbon (Mkopo)

Jason Denayer – Manchester City kwenda Sunderland (Mkopo)

Dominic Calvert-Lewin – Sheffield United kwenda Everton

Pau Lopez – Espanyol kwenda Tottenham (Mkopo)

Juan Cuadrado – Chelsea kwenda Juventus (Mkopo)

Georges-Kevin Nkoudou – Marseille kwenda Tottenham(£11m)

Allan Nyom – Watford Kwenda West Brom,(£3m)

Andre Wisdom – Liverpool kwenda Red Bull Salzburg,(Mkopo)

Joe Hart – Manchester City Kwenda Torino, (Mkopo)

Samir Nasri – Manchester City kwenda Sevilla, (Mkopo)

Wilfried Bony – Manchester City kwenda Stoke, (Mkopo)

Luis Alberto – Liverpool kwenda Lazio, (£6m)

Shani Tarashaj – Everton kwenda Eintracht Frankfurt, (Mkopo)

Gokhan Inler – Leicester kwenda Besiktas,

Lee Grant – Derby kwenda Stoke, (Mkopo)

Cristian Cuevas – Chelsea kwenda Sint-Truiden, (Mkopo)

Franck Tabanou – Swansea to Granada, (Mkopo)

Didier Ndong – Lorient to Sunderland, (£13.6m)

Serge Gnabry – Arsenal kwenda Werder Bremen

Shay Facey – Manchester City kwenda Heerenveen, (Mkopo)

Jeff Hendrick – Derby kwenda Burnley, (£10.5m)

Adama Traore – Aston Villa kwenda Middlesbrough,

Bruno Martins Indi – Porto kwenda Stoke, (Mkopo)

Marcos Alonso – Fiorentina kwenda Chelsea, (£24m)

Eliaquim Mangala – Manchester City kwenda Valencia, (Mkopo)

Cameron  McJannett – Luton kwenda Stoke

Baily Cargill – Bournemouth kwenda Gillingham, (Mkopo)

Mihai Dobre – Viitorul Constanta kwenda Bournemouth

Diego Poyet – Ameachwa na West Ham Utd

‘Bunge’ lamtimua madarakani Rais wa Brazil
Msajili amlima Barua Maalim Seif kuhusu sakata la Lipumba