Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Mpira wa Miguu ya Wanawake Tanzania, Nasra Juma ametangaza majina ya wachezaji 23 watakaounda kikosi cha Twiga Stars.

Kikosi hicho kinatarajiwa kwenda Kigali, Rwanda Julai 15, 2016 kucheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya timu ya taifa ya Rwanda ikiwa ni mwaliko maalumu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Rwanda (Ferwafa).

Makipa:

Fatma Omary, Belina Julius na Najiat Abbas

Walinzi:

Stumai Abdallah, Fatma Issa, Anastazia Antony, Happuness Henziron na Maimuna Khamis

Viungo: Donisia Daniel, Amina Ali, Amina Ramadhani, Fatuma Bashiri, Wema Richard, Fadhila Hamadi, Mwajuma Abdallah, Anna Hebron na Sophia Mwasikili

Washambuaji:

Tumaini Michael, Johari Shaaban, Fatma Idd, Shelder Bonifdace Mafuru, Asha Saada Rashid na Mwanakhamisi Omar

Serengeti Boys Yapaa, Mchawi Mweusi Atamba
Mwanamziki Aliyepotea Ghafla Nigeria Apatikana