Mgombea ubunge wa jimbo la Ubungo kwa tiketi ya Chadema, Saeda Kubenea amejitokeza hadharani kujibu hoja za Katibu Mkuu wa zamani wa chama hicho, Dk Wilbroad Slaa.

Akihutubia katika mkutano wa kampeni wilayani Kyela, Mbeya, Mwakyembe ameeleza mambo mengi akidai kuwa Dk Slaa aliudanganya umma kwa kutumia ushahidi wa ripoti ya Richomond huku akifahamu fika kuwa ripoti hizo ziko za aina mbili.

Alisema ripoti ya pili inaonesha dhahiri kuwa Edward Lowassa sio mhusika wa sakata la Richmond. Katika hotuba yake, amesema mwenyekiti wa kamati maalum ya Bunge iliyochunguza Richmond, Harison Mwakyembe na aliyekuwa Spika wa Bunge, Samuel Sitta walikuwa na maslahi binafsi kwa kuwa wao pia walikuwa wanamiliki makampuni ya kufua umeme.

Angalia video hapa:

Austria Yakata Tiketi Ya Kucheza Euro 2016
Yanga Wakubali Kumuachia Mkwasa