Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe amechukua fomu ya kugombea urais wa Tanzania kupitia chama cha ACT-Wazalendo katik Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba, 2020.

Membe amewasili mapema kwenye ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jijini Dodoma akisindikizwa na Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad.

Mwanasiasa huyo mzoefu, alijiunga na Chama cha ACT-Wazalendo miezi michache baada ya Chama Cha Mapinduzi kutangaza kuwa kimemfukuza uanachama kwa utovu wa nidhamu.

Makatibu wa SADC wakutana kuboresha rasimu za nyaraka na kimkakati
Ahukumiwa kifo baada ya kumchinja mtoto wake