Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara *TPLB* imethibitisha kuendelea kwa mshike mshike wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2020/21, ambao upo kwenye mzunguuko wake wa pili.

Ligi Kuu Tanzania Bara ilisimama kupisha maandalizi ya timu ya taifa ya Tanzania *Taifa Stars*, sanjari na maombolezo ya aliyekua Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania John Pombe Joseph Magufuli, aliyefariki duniani Machi 17 na kuzikwa Machi 26 nyumbani kwake Wilayani Chato mkoani Geita.

TPLB wamethibitisha kuendelea kwa Ligi hiyo baada ya kumalizika kwa siku 21 za Maombolezo ya kiongozi huyo, ambaye ataendelea kukumbukwa na watanzania wote kwa uthubutu na utendaji kazi uliotukuka wakati wa uhai wake.

Katika ratiba hiyo vinara wa Ligi Kuu Young Africans wenye alama 50 watakuwa wenyeji wa KMC FC Aprili 10 Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam, huku Azam FC wanaoshika nafasi ya tatu kwenye msimamo kwa kumiliki alama 41 watapepetana na Mtibwa Sugar Aprili 09.

Mabingwa watetezi Simba SC wanaoshika nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu kwa kufikisha alama 46 walipaswa kucheza dhidi ya Ruvu Shooting April 10, lakini kutokana na majukumu yao kimataifa mchezo huo umeahirishwa.

Simba SC watarejea tena dimbani kuendelea na mshike mshike wa Ligi Kuu Aprili 14 kwa kucheza dhidi ya Mtibwa Sugar Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam.

No photo description available.
May be an image of text that says "TANZANIA PREMIER LEAGUE BOARD LiGI KUU Vodacom PREMIERLEAGUE .TFF. H 2020/2021 ROUND 28&29 Namungoc April MbeyaCtyFC 251 Ihefu Coastal UnionF Shootng 1400HRS Mwanza ung Sugar Highland Estate 1900HRS Tanzania Mkapa tadium 246 247 2021 Mbeya Rukwa Salaam Morogoro MwaduiFc Mbeya Gwambina Stadium Tanzania WEEK 1600HRS 2021 tadium Stadium 2021 MICHEZO T APRIL VIPORO MAY Mbeya Lindi You Jamhur 2021 SugarFc 1400HRS ta Simba Kagera Sugar Stadium 1400HRS Mwadui Complex May May 2021 Shinyanga Salaam Highland Mtibwa Sugar Azam Young Africans Tanzania Prisons 2021 1600HRS 1600HRS Gwambina Stadium Dodoma lamhuri Stadium Morogoro Salaam Stadium Mara @tplboard tplboard TPLBOARD vodacom azamtv"
May be an image of text that says "TANZANIA PREMIER LEAGUE BOARD LiGI KUU Vodacom PREMIERLEAGUE .TFF. 2020/2021 ROUND 30-32 May 2021 270 265 262 Coastal Union Kagera May May Tanzania t Mtibwa Gwambina Prisons 1400HRS Mkwakwani Stadium Stadium Mwadui Complex 1400HRS 2021 Tanga Kagera Shinyanga Morogoro 269 Africans Gwambina United Simba HighlandEstates May2 2021 Mbeva Dar Mkapa Stadium Salaam NamungoFc GwambinaFc June 2021 Majaliwa Stadium Biashara United June Pwani 15JUNE Namungoc hefuF Sugar 1600HRS 1400HRS Karume Stadium Prisons Mara Kaitaba Stadium 2021 Ruvu Shooting Polisi Shinyanga 2021 June Africans 1900HRS 202 Salaam Prisons June Young Ruvu Shooting Mwadui 1400HRS 1900HRS Mwanza Salaam @tplboard tplboard TPLBOARD azamtv"
May be an image of text that says "TANZANIA PREMIER LEAGUE BOARD LiGI KUU Vodacom PREMIERLEAGUE TFF. M 2020/2021 ROUND 33&34 TBA POSTPONED MATCHES MICHEZO VS S”mbaS July 2021 Mbeya 1900HRS 1600HRS 2021 Dar Majaliwa Stadium Salaam Gwambina Biashara UnitedF TBA TBA Tanzania Sokoine Stadium Nelson 295 297 Ushirika Young Africans Dodoma Coastal Union Ruvu Mbeya Rukwa Salaam Kilimanjaro Salaam Mtibwa Sugar TBA TBA TBA NamungoFc Mkapa amhuri Stadium Mkwakwani Stadium Salaam Dodoma Tanga Mabatini TanzaniaF Simba 1600HRS Tanzania Mbeya Namungo Africans uuum SAMORA Mkapa Stadium 1600HRS Sugar Dar Salaam Dodoma Rukwa Mkwakwani Stadium DL AWARDS 2021 2021) JULY 2021) @tplboard tplboard TPLBOARD LIGI KUU azamtv BANK"
Tetesi: Adam Adam awindwa Libya
Habari kubwa kwenye magazeti leo, Machi 31, 2021