Patashika ya ligi ya mabingwa barani Ulaya hatua ya makundi itaendelea tena hii leo  Jumanne na kesho Jumatano, katika viwanja mbalimbali barani humo.

Mabingwa watetezi, Real Madrid watakua wagenini wa APOEL ya nchini Cyprus huku wakimkosa nahodha wao Sergio Ramos ambaye ni majeruhi.

Wapinzani hao wa Madrid hawajashinda mchezo hata mmoja katika Kundi H, hivyo mchezo huo unatarajiwa kuwa mwepesi kwa Madrid ambao wanahitaji ushindi baada ya kutokuwa na matokeo mazuri katika mechi za hivi karibuni.

Michezo mingine ya  leo Jumanne.

BeşiktaşvPorto

Spartak MoskvavMaribor

Borussia Dortmund v Tottenham Hotspur

Napoli v Shakhtar Donetsk

SevillavLiverpool

APOEL v Real Madrid

Manchester CityvFeyenoord

MonacovRB Leipzig

 

Michezo ya  kesho Jumatano.

CSKA MoskvavBenfica

QarabağvChelsea

JuventusvBarcelona

BaselvManchester United

Anderlecht v Bayern München

Sporting CP v Olympiakos Piraeus

Atlético Madrid v Roma

PSGvCeltic

Profesa Kitila azungumzia ‘tetesi’ za kugombea jimbo la Nyalandu
Ramos aachwa kikosi cha Real Madrid