LIVE CHATO: Rais Dkt. John Magufuli akimpokea Rais Uhuru Kenyatta
6 years agoComments Off on LIVE CHATO: Rais Dkt. John Magufuli akimpokea Rais Uhuru Kenyatta
fuatilia hapa matangazo ya moja kwa moja kutoka Chato mkoani Geita, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Rais wa Jamhuri ya Kenya, Uhuru Kenyatta.