LIVE CHATO : Rais John Pombe Magufuli akizindua hifadhi mpya ya Taifa ya Burigi
6 years agoComments Off on LIVE CHATO : Rais John Pombe Magufuli akizindua hifadhi mpya ya Taifa ya Burigi
Fuatilia hapa matangazo ya moja kwa moja kutoka wilayani Chato mkoani Geita, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akizindua hifadhi mpya ya Taifa ya Burigi.