LIVE GEITA: Rais Magufuli akizindua Nyumba za Makazi ya Askari Polisi
6 years agoComments Off on LIVE GEITA: Rais Magufuli akizindua Nyumba za Makazi ya Askari Polisi
Fuatilia hapa matangazo ya moja kwa moja, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akizindua nyumba za askari Polisi mkoani Geita.