Fuatilia hapa matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu jijini Dar es salaam, mazungumzo kati ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake, Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa katika ziara yake ya kikazi.

Rais Magufuli atoa ujumbe kwa bara la Afrika, 'Hakuna lisilowezekana'
Wakurugenzi 40 matatani, 'Jielezeni kwanini tusiwachukulie hatua'