Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amempokea Rais wa DRC, Felix Tshisekedi aliyewasili nchini leo kwenye ziara ya kitaifa, na kushiriki naye katika hafla ya jioni Ikulu pamoja na viongozi mbalimabali wa serikali na wastaafu akiwemeo Waziri mkuu msaafu Edward Lowassa.

Rais Magufuli amesema kuwa anafuraha kushiriki hafla hiyo siku ya leo na Rais Tshisekedi kwani leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwa rais huyo wa DRC, Mwanamziki Christian Bella ni miongoni mwa waliotumbuiza kwenye hafla hiyo…,Bofya hapa kutazama hafla hii Mubashara

Habari kubwa katika Magazeti ya Tanzania leo Juni 14, 2019
BAJETI: Serikali kuongeza kodi ya nywele bandia hadi 25%, kuongeza mapato

Comments

comments