LIVE KILIMANJARO: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika Uzinduzi wa Treni ya Mizigo kutoka DAR ES SALAAM- TANGA-KILIMANJARO
6 years agoComments Off on LIVE KILIMANJARO: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika Uzinduzi wa Treni ya Mizigo kutoka DAR ES SALAAM- TANGA-KILIMANJARO
Fuatilia hapa matangazo ya moja kwa moja kutoka mkoani Kilimanjaro, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika uzinduzi wa Treni ya mizigo kutoka Dar es salaam, Tanga na Kilimanjaro.