Live: Magufuli akigawa Tausi kwa marais wastaafu na Mjane mama Nyerere
5 years ago
Fuatilia hapa matangazo ya moja kwa moja, Rais Dkt. John Magufuli akigawa ndege aina ya Tausi kwa marais wastaafu na mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere.
Tukio hilo linafanyika leo Mei 29, katika Ikulu ya Tanzania-Chamwino Dodoma…, Bofya hapa kutazama