Kamati ya usalama Jiji Dar es salaam, inayojumuisha viongozi wa dini zote, Wachungaji, Masheikh na maaskofu pamoja na viongozi wa Serikali imekaa leo katika Ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere kujadili mipango ya kuelekea Uchaguzi na Uchumi wa viwanda katika kongamano la Amani waliloandaa…, Bofya hapa kutazama jinsi kongamano hilo linavyoendelea.

Wanaume watakiwa kujichunguza saratani ya matiti
Video: Asimulia penzi la usiku mmoja lilivyomponza, ''Wasichana bebeni mipira kwenye mikoba yenu''